Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika
Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Afrika inahusika katika kulinda, kuhiadhi na ktangaza historia ya ukombozi wa Afrika kwa vizazi vya sasa na vijavyo.