Rais Samora,Rais Kaunda,Rais Nyerere ,Rais Neto,na Rais Kwame wakati wa mkutano wao wa nchi zilizo mstari wa mbele katika harakati za Ukombozi Kusini mwa Afrika-Mjini Luanda 17/4/1977
Marais waanzilishi wa umoja wa nchi huru za Afrika 1963
Mwalimu Nyerere akipokewa na mwenyeji wake Haile sellasie katika uwanja wa ndege wa Addis Ababa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka kumi ya kuanzishwa kwa Umoja wa nchi huru za Afrika mwaka 1973