Tanzania emblem

Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Afrika

Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika

Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Afrika

Maeneo ya Urithi


Kambi ya Wapigania uhuru ya Itumbi ipo katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya. Kambi hii ilitumiwa na wapigania uhuru wa Chama cha PAC kutoka Afrika Kusini na wapigania uhuru wa chama cha MPLA kutoka Angola