Uratibu
Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Afrika inaratibiwa na tanzania ambapo kituo kikuu chake kitajengwa jijini Dar es salaam. Halikadhalika, kia nchi mwanachama itapaswa kuwa na tawi lake ambalo litashughulika kutambua, kukusanya, kuhifadhi, kulinda nakutangaza Urithi wa Ukombozi unaopatika katika nchi husika.