Dira na Dhamira
Dira
Kuwa na jamii inayotambua, kuenzi na kuendeleza kwa pamoja Urithi wa Ukombozi wa Afrika kwa maendeleo endelevu.
Dhamira
Kuhakikisha kuwa historia ya Ukombozi wa Afrika inatambuliwa, kuhifadhiwa, kulindwa, kutunzwa na kutangazwa kwa kuweka jitihada madhubuti baina ya Nchi Wanachama.