Mnavu
Mnavu
MNAVU LOCAL
SIFA
- Hutoa mazao mengi tani 10 - 12 (Kilo 10,000 - 12,000) kwa hekari moja
- Huchelewa kutoa maua hivyo kuvunwa kwa muda mrefu, Maua yake huwa na majani mapana
- Huvumilia ugonjwa wa mnyauko fusari (Fusarium wilt)
- Hauna ladha ya uchungu