Kitunguu
Kitunguu
MANGOLA RED
SIFA
- Hustahimili magonjwa
- Hukomaa kwa miezi 4
- Mavuno ni gunia 60 - 70 kwa hekari
- Vinarangi nyekundu, kivutio sokoni