Bamia
Bamia
PUSA SAWANI
SIFA
- Hutoa mavuno tani 8 kwa hekari
- Hukomaa kwa siku 60
- Ina matunda marefu yenye migongo
- Inafaa zaidi kwenye ukanda wa joto au wakati wa joto
- Ikipandwa kwa nafasi ya 25sm X 60sm (mbegu moja kwa shimo) au 60sm X 90sm (mbegu 2 kwa shimo) inatakiwa kupanda gram 3000 kwa hekari.