Mchicha
Mchicha
1. Mchicha wa Unga
SIFA
- Inafanya vizuri ukanda wa chini mpaka nyanda za juu kusini (0 - 1700)
- Huzaa mbegu kilo 800 - 1000 kwa hekari
- Mbegu hufaa kusagwa kama nafaka na kua unga kwa matumizi ya kutebgeneza vyakula kama uji, maandazi n.k
- Unaweza kuvunwa kwa kung'olewa baada ya wiki ya 3 - 4
2. Mchicha Local
SIFA
- Hutoa mazao mengi tani 10 - 12 (Kilo 10,000 - 12,000) kwa hekari
- Huvumilia ugonjwa wa mnyauko fusari (Fusarium wilt)
- Hutoa maua yenye majani mapana. Hutoa maua yake kwa kuchelewa hivyo kuvunwa kwa kipindi kirefu
- Hauna ladha ya uchungu