Ngogwe (Nyanya Chungu)
Ngogwe (Nyanya Chungu)
1. DB3
SIFA
- Inapendekezwa kulimwa ukanda wa chini mpaka wa juu (mita 100 - 1500)
- Hutoa mazao mengi kati ya tani 16 - 36 (Kilo 16,000 - 36,000) kwa hekari moja
- Huzaa matunda yenye umbo la yai
- Aina hii sio chungu kwa ladha
- Inaweza kuvunwa kwa kipindi kirefu
2. Tengeru Nyeupe
SIFA
- Hutoa mazao mengi kati ya tani 16 - 36 (Kilo 16,000 - 36,000) kwa hekari moja
- inatoa matunda makubwa yenye umbo la mduara
- Ina ladha ya uchungu
- Inaweza kuvunwa kwa kipindi kirefu