Loshuu (Sukumawiki)

RUNGWE

SIFA

  • Inafanya vizuri ukanda wa chini mpaka nyanda za juu kusini (0 - 1700)
  • Inazaa wastani wa tani 16 kwa hekari
  • Ina majani mapana na ni tamu
  • Inashauriwa kupandwa kwa nafasi ya 60sm X 40sm