Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Mpaka sasa maeneo zaidi ya 255 yameshatambuliwa kuwa na historia ya ukombozi
Tanzania ilikuwa kitovu cha kuratibu mapambano ya ukombozi wa Afrika hasa kusini mwa Afrika, Tanzania ilisaidia nchi nyingine za Afrika kwa hali na mali, Tanzania ilitoa ardhi, makazi, mafunzo, fedha kwa ajili ya kusaidia harakati za ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika, pia Kamati kuu ya Ukombozi ya OAU ilikuwa Dar es Salaam, Tanzania.ndio maana Tanzania imepewa heshima hii kutokana na kuwa na mchango mkubwa katika harakati za ukombozi