Habari
Ziara za viongozi
Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji akipata maelezo kuhusu maonesho yaliyopo katika makumbusho ya Kituo cha Urithi wa ukombozi bara la Afrika kutoka kwa Afisa wa Kituo Bi. May Simba, alipotembelea kituo hiki mapema Disemba 8, 2025.

