AINA YA ZAO PICHA SIFA ZAKE VIFUNGASHIO
SITUKA M1 SITUKA M1
  1. Inapendekezwa kupandwa kwenye ukanda wa mita (1000 - 1500) kutoka usawa wa Bahari
  2. Inafaa kwa msimu wa mvua nyingi
  3. Inakomaa ndani ya siku 110 - 120
  4. Ikipandwa kwa kufuata kanuni sahihi za kilimo, inauwezo wa kutoa mavuno ya wastani wa gunia 10-15 kwa ekari
  5. Inastahimili ugonjwa wa Milia (Maize Streak), baka jani(GLS) na Kutu.
  6. Kiasi cha Kilo 8 za Mbegu hii kinatosha kupanda kwa ekari 1 kama yatapandwa kwa nafasi ya SM 75*30
2KGs