Mwenyekiti wa Bodi ya wakala wa Mbegu za kilimo (ASA ) Dkt.Ashura Kihupi ameongoza kikao cha bodi ya wakala
Mwenyekiti wa Bodi ya wakala wa Mbegu za kilimo (ASA ) Dkt.Ashura Kihupi ameongoza kikao cha bodi ya wakala
30 Jul, 2024
Mwenyekiti wa Bodi ya wakala wa Mbegu za kilimo (ASA ) Dkt.Ashura Kihupi ameongoza kikao cha bodi ya wakala wa Mbegu kilichofanyika makao Makuu ya wakala Mkoani Morogoro.
Mmoja ya ajenda ya Kikao hicho ni mwenyekiti kumtambulisha Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu Bwn.Leo Mavika.
Aidha Kikao Cha bodi ya Wakala kinalenga kuongeza Uzalishaji wa Mbegu na kuongeza ufanisi wa kazi.