Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba 2025
03 Jul, 2025 4:00 - 12:00
Viwanja vya Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam
info@asa.go.tz

Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA), inaendelea kutoa elimu ya utumiaji na upatikanaji wa mbegu mbora za kilimo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimaraifa ya Sabasaba. Maonesho haya Sabasaba yanatarajiwa kuendelea hadi Julai 13, 2025, na ASA inatarajia kutoa huduma kwa maelfu zaidi ya wakulima na wadau wa kilimo nchini.

Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba 2025