Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo Utafiti. Magari hayo yamenunuliwa kupitia Mradi wa HEET unaofadhiliwa na World Bank na kusimamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
#Kazi inaendelea #Weledi na Ustawi